We provide Yesaya Software online (apkid: tz.co.yesayasoftware.yesayasoftware) in order to run this application in our online Android emulator.


Description:

Run this app named Yesaya Software using MyAndroid.
You can do it using our Android online emulator.

Mambo ni Yesaya hapa, nimetengeneza Yesaya Software App pamoja na website yake (yesayasoftware.co.tz) vilevile kule YouTube kwenye channel ya @yesayasoftware.
Ninatumia majukwaa haya kujadiliana pamoja wewe kuhusu utengezaji wa mifumo ya TEHAMA, utaona kila wakati naweka jambo jipya la kukushirikisha.
Nitafurahi kujifunza kutoka kwako kupitia maoni na changamoto unazopitia kwenye programming.
Nimejifunza, njia nzuri ya kuelewa zaidi ni kufundisha wengine ulichojifunza.
Napenda nachofanya na nataka kuelewa zaidi.
Hapa chini, ni maeneo muhimu ninayofanya nayo kazi na ninapenda kukushirikisha wewe.
Laravel
Laravel ni PHP Framework, ninaipenda na ninaitumia kwa kazi zangu nyingi.
Ni expressive na rahisi kufanya nayo kazi, nina imani utaipenda.
Kotlin
Kotlin ni chaguo namba moja kwenye Android Studio, iko vizuri sana, imepunguza kuandika code za kujiruia rudia (boiler plate code).
Vue JS
Ili mifumo yako inoge, ni lazima uweke chumvi kidogo (JavaScript) ili kuongeza interactivity.
Mimi nimechagua Vue JS Framework.
Tailwind CSS
Muonekano ni kila kitu, hasa kwenye macho ya mtumiaji wa mfumo wako.
Tailwind CSS inaeleweka na kukupa nguvu kuamua unachotaka.
Nitafurahi kuzungumza na kubadilishana mawazo na wewe, hebu jiunge sasa na subscribe pale YouTube.

MyAndroid is not a downloader online for Yesaya Software. It only allows to test online Yesaya Software with apkid tz.co.yesayasoftware.yesayasoftware. MyAndroid provides the official Google Play Store to run Yesaya Software online.

Page navigation:

©2025. MyAndroid. All Rights Reserved.

By OffiDocs Group OU – Registry code: 1609791 -VAT number: EE102345621.