We provide Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161 online (apkid: tz.co.wadau.tenzizarohoni) in order to run this application in our online Android emulator.
Description:

Run this app named Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161 using MyAndroid.
You can do it using our Android online emulator.
App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.
App hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya.
Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini.
Pia app hii ina ala za nyimbo ambazo unaweza kusikipiliza pindi unapoimba bila kuwa na intaneti (Offline)
Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.
Wakolosai 3: 16
FEATURES
Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.
Ala za tenzi bila intaneti (Offline)
Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.
Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote
Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo
Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya
Kuchagua aina ya fonti za aya
Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti

MyAndroid is not a downloader online for Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161. It only allows to test online Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161 with apkid tz.co.wadau.tenzizarohoni. MyAndroid provides the official Google Play Store to run Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161 online.
©2025. MyAndroid. All Rights Reserved.
By OffiDocs Group OU – Registry code: 1609791 -VAT number: EE102345621.