We provide BataDaily online (apkid: tz.co.batadaily) in order to run this application in our online Android emulator.


Description:

Run this app named BataDaily using MyAndroid.
You can do it using our Android online emulator.

Batadaily ni sehem pekee utakapopata taarifa za maeneo yote mazuri ya shangwe mjini kila siku.
Sisi tunaamini kwamba bata ni kila siku uliyojaliwa na Mungu, hivyo hakuna siku maalamu ya shangwe bali shangwe ni daily.
Ukiwa batadaily utajua sehemu zote zenye misosi mitamu, promo na mziki mkali, bila kusahau zile sehemu za mahaba.
Pia batadaily itakuwa ikiandaa events kuntu sana kila wiki zenye vibe kali, hivyo kutakuwepo na shangwe la pamoja kwaajili ya wala bata wote.
Kama wewe unamiliki sehemu yoyote ya bata, fursa hii ni yako kuhudumia wala bata kwa ustadi.
Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.

MyAndroid is not a downloader online for BataDaily. It only allows to test online BataDaily with apkid tz.co.batadaily. MyAndroid provides the official Google Play Store to run BataDaily online.

Page navigation:

©2025. MyAndroid. All Rights Reserved.

By OffiDocs Group OU – Registry code: 1609791 -VAT number: EE102345621.