We provide Ujasiriamali na biashara online (apkid: com.ujasiriamali.na.biashara) in order to run this application in our online Android emulator.
Description:

Run this app named Ujasiriamali na biashara using MyAndroid.
You can do it using our Android online emulator.
Ujasiriamali na Biashara App ni App Bora na mahsusi kwa kijana yeyote mwenye ndoto na kiu ya mafanikio.
Kupitia mafunzo mbalimbali yanayopatikana katika App hii, kijana utaweza kujifunza namna mbalimbali za kutengeneza pesa, kujiajiri wewe mwenyewe binafsi, kufahamu biashara za mtaji mdogo na zenye faida kubwa, kufahamu biashara zinazoendana na wakati n.k.
Ujasiriamali na Biashara App inakupa michanganuo mbali mbali ya biashara kwa aina yeyote ya mtaji ulionao.
Kupitia App hii utajifunza mbinu 1000 za mafanikio, mawazo / wazo la kujiajiri.
Ni wakati sasa wa kuwa Mjasiriamali plus unaendana na wakati.
Kupitia App hii ya Ujasiriamali na biashara yote yanawezakana, unaweza kujifunza na kuwa mfanya Biashara Plus kwa kutimiza mipango yako ya biashara.
Mwisho kupitia App hii utajifunza Kilimo Biashara ( Kilimo cha biashara) kupitia makala mbalimbali yanayochapishwa.

MyAndroid is not a downloader online for Ujasiriamali na biashara. It only allows to test online Ujasiriamali na biashara with apkid com.ujasiriamali.na.biashara. MyAndroid provides the official Google Play Store to run Ujasiriamali na biashara online.
©2024. MyAndroid. All Rights Reserved.
By OffiDocs Group OU – Registry code: 1609791 -VAT number: EE102345621.