com simulizi tamu

We provide Simulizi Tamu online (apkid: com.simulizi.tamu) in order to run this application in our online Android emulator.


Description:

Simulizi hizi zinafaa kwa kujifunza mambo mengi kuhusu mapenzi, visa na mikasa mbalimbali ya maisha pamoja na simulizi za kidini kutukumbusha na kutufundisha mambo mbalimbali kuhusu maisha yetu ya sasa na ya baadae.

Application hii ina mambo yafuatayo: -

1. Inafunguka kwa haraka sana

2. Unasoma ndani ya Application kila kitu bila kwenda kwenye blog au website

3. Kila siku tunaweka simulizi mpya na kuweka muendelezo wa zile zenye mwendelezo.

4. Unapofungua simulizi inahifadhiwa sehemu ambayo kwa baadae unaweza isoma hata bila Internet

5. Unapata ujumbe kila simulizi mpya inapowekwa.

6. Na mengine mengi utayapata ukipakua Application yetu.

Usipitwe na simulizi tamu na zenye maudhui ya kuelimisha lakini pia kuburudisha kuifanya siku yako iende vizuri.

MyAndroid is not a downloader online for Simulizi Tamu. It only allows to test online Simulizi Tamu with apkid com.simulizi.tamu. MyAndroid provides the official Google Play Store to run Simulizi Tamu online.

©2024. MyAndroid. All Rights Reserved.

By OffiDocs Group OU – Registry code: 1609791 -VAT number: EE102345621.