We provide MUKI online (apkid: com.lgti.emuki) in order to run this application in our online Android emulator.


Description:

Run this app named MUKI using MyAndroid.
You can do it using our Android online emulator.

MUKI- Mfumo wa Ujifunzaji Kielektroniki ni mfumo unaowezesha Madiwani, wawezeshaji na wanafunzi wa Chuo cha Serikali za Mitaa kupata maudhui ya kujifunzia popote pale walipo.
MUKI itawawezesha Madiwani, wawezeshaji na wanafunzi kufanya yafuatayo;
- Kufikia rasilimali ujifunzaji/maudhui ya mada husika
- Kushiriki kwenye majukwaa ya mijadala
- Kufanya mazoezi mbalimali
- Kuwasiliana baina ya madiwani, wawezeshaji na wanafunzi
- Kufikia maudhui ya mada mahali popote na kwa wakati wowote
- Kupata maudhui ya mada husika hata pasipokuwa na mtandao wa intaneti
- Na mengine mengi ya kidigitali

MyAndroid is not a downloader online for MUKI. It only allows to test online MUKI with apkid com.lgti.emuki. MyAndroid provides the official Google Play Store to run MUKI online.

Page navigation:

©2025. MyAndroid. All Rights Reserved.

By OffiDocs Group OU – Registry code: 1609791 -VAT number: EE102345621.