We provide Viwavijeshi Vamizi: Fall ArmyWorm online (apkid: com.fallarmyworm.mobile) in order to run this application in our online Android emulator.


Description:

Run this app named Viwavijeshi Vamizi: Fall ArmyWorm using MyAndroid.
You can do it using our Android online emulator.

Viwavijeshi wadudu wageni barani Afrika,asili yao ni bara la Amerika.Wadudu hawa hushambulia mahindi hasa mahindi machanga, lakini pia wana uwezo wa kushambulia mazao mengine kama vile Mtama, Uwele, Mpunga, Ngano, Miwa na hata mimea jamii ya mbogamboga.
Katika App hii, tutamzungumzia zaidi viwavi jeshi aina ya Fall ArmyWorm (Spodoptera frugiperda).
Ambapo utajifunza jinsi ya kuwatambua, mzunguko wao wa maisha, athari zao kwenye mazao na namna ya kuwadhibiti.
App hii ya kitaalamu imeandaliwa mahususi kumsaidia mkulima, afisa ugani na mdau wa kilimo kuweza kumtambua mdudu huyu, dalili mbalimbali na hatimaye kujua wakati na namna sahihi ya kumdhibiti.

MyAndroid is not a downloader online for Viwavijeshi Vamizi: Fall ArmyWorm. It only allows to test online Viwavijeshi Vamizi: Fall ArmyWorm with apkid com.fallarmyworm.mobile. MyAndroid provides the official Google Play Store to run Viwavijeshi Vamizi: Fall ArmyWorm online.

Page navigation:

©2025. MyAndroid. All Rights Reserved.

By OffiDocs Group OU – Registry code: 1609791 -VAT number: EE102345621.

×
Advertisement
❤️Shop, book, or buy here — no cost, helps keep services free.