We provide Kiwanja Admin online (apkid: apple.tz.co.dephics.kiwanjaadmin) in order to run this application in our online Android emulator.


Description:

iPhone app Kiwanja Admin download it using MyAndroid.

Kitumizi hiki ni kwaajili ya wateja wa Kiwanja Buku chini ya mradi wa Clouds City.
Kitumizi hiki kinawasaidia wateja kuona taarifa za viwanja vyao na mtiririko wa malipo.

Viwanja vilivyopimwa na miundombinu yote ipo katika mradi wa Clouds City uliopo Tundwi Kigamboni wenye viwanja 1000, malipo ni kwa mkupuo au kidogo kidogo hadi Tsh.
1000= kwa siku na malipo yanatakiwa kukamilika ndani ya siku 1000.

Ukubwa wa viwanja ni kuanzia SQM 400 na kuendelea.
Gharama kwa SQM moja ni Tsh.
8000=, ikihusisha na kupata hatimiliki bila gharama za ziada.
Karibu sana Kiwanja Buku ujipatie kiwanja chako.

Maeneo vilipo ni Kigamboni Ni Tundwi Center Kigamboni.
Ofisi ziko Corner Stone, Kibada Kigamboni.,

MyAndroid is not a downloader online for Kiwanja Admin. It only allows to test online Kiwanja Admin with apkid apple.tz.co.dephics.kiwanjaadmin. MyAndroid provides the official Google Play Store to run Kiwanja Admin online.

Page navigation:

©2024. MyAndroid. All Rights Reserved.

By OffiDocs Group OU – Registry code: 1609791 -VAT number: EE102345621.